Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Habari ni nzuri, vipi wewe jamaniHelo dada yangu, habari za wakati huu?
Habari ni nzuri, vipi wewe jamaniHelo dada yangu, habari za wakati huu?
HahahhaaHahaha
Kumbe upooo!! Sijachelewa ndo naamka
hahaha kweli mapenzi upofu, mm hayo macho siyaelewi kabisa@Mr miller
Habari yako!
Mimi nzuri pia, karibuHabari ni nzuri, vipi wewe jamani
HahahaHahahhaa
Mwenzio nilikuwa nimesinzia hapa ndio nimeamka nile
Maana si kwa njaa hii
Habari ni nzuri!!Habari yako!
Usjali dada angu mzuriHahaha
Ule sa hizi kakangu kipenzi?! Pole kwa njaa, mie nkisinzia siwezi kula tena
Sakayo hujalala tu?Habari ni nzuri!!
Imebidi nifuate upepo tuu, mchana siwaoni
Kwa hiyo unakula sa hizi kakangu!!Usjali dada angu mzuri
Yaan hapa lazima nilee by force by fire
Maana nilikuwa nimekamia sana kula leo.
Vipi lakini usha anza kuisoma ike hadithi?
Nililala nkaamka babe ake shunieSakayo hujalala tu?
Eeeh nakula now hapaaKwa hiyo unakula sa hizi kakangu!!
Hahaha... Hadithi nianze na ipi sasa, mtu aanaporomosha sehemu 20 si kukomoana hukooo
Kula taratibu basi usipaliwe kipenzi kaka!!Eeeh nakula now hapaa
Epi sode 20 mbona chache sana hzo my love you can do it dada. Unaenda mdogo mdogo.
Ooh! sawa shemu na mm nimeona huyu kalala hapa ngoja nijiibe kidogo nichungulie huku kuna nini?Nililala nkaamka babe ake shunie
Chungulia lakini hakikisha huaribu! Nakunyatia tuu kwa mbaaliOoh! sawa shemu na mm nimeona huyu kalala hapa ngoja nijiibe kidogo nichungulie huku kuna nini?
Hahah!! wala siwezi thubutu kuharibu maana kazi yako naiaminia sanaChungulia lakini hakikisha huaribu! Nakunyatia tuu kwa mbaali

HahahaHahah!! wala siwezi thubutu kuharibu maana kazi yako naiaminia sana![]()
Ahsante napenda vile una nijali.Kula taratibu basi usipaliwe kipenzi kaka!!
We umefika episode ya ngapi jamanii!!