Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Amini hilo Toto eeeh.. Shunie kaongeza jikoHahahahaah
Siamin amini ujue![]()
Amini hilo Toto eeeh.. Shunie kaongeza jikoHahahahaah
Siamin amini ujue![]()
Sawa ShemHahah!! Acha tu niende kwenye siasa sasa
Uzuri mmoja dada yake Sakayo yupo humu kama vp muulizeHahahahaah
Siamin amini ujue![]()
Hahah alishaniambia huku huwa hapiti kabisa, sasa hapa kinahitajika ni busara zako tu shemuHahaha
Natamani apite hukuu
HahahaHahah alishaniambia huku huwa hapiti kabisa, sasa hapa kinahitajika ni busara zako tu shemu
Heeh! sasa hizi kauli zangu zitaniponza penzi langu litayumba, ngoja nikachambue siasa tuHahaha
Usijiamini saana shemu.. Huwa anapita saana tuu
HahahahaAmini hilo Toto eeeh.. Shunie kaongeza jiko
Ndo hivyo... Tena usiku huu alikuwa anapakumbuka hukuHeeh! sasa hizi kauli zangu zitaniponza penzi langu litayumba, ngoja nikachambue siasa tu
HahahahUzuri mmoja dada yake Sakayo yupo humu kama vp muulize
HahahaHahahaha
Hivi Shunie ana monopolize au wengine wote walipigwa chini?
Aiseee! Hakika itabidi niwe makini sana na mtt mana hadi wewe unanisisitiza hivi sio bureHahahah
Hongera hebu take care of Shunie
I will be watching you, utulie sasa maana mtoto amewapiga chini wengi mpaka aka kubali wewe.
HahahaHahaha
Sitaki uchochezi mie... Naomba baadae akujibu mwenyewe hilo swali!
Siyo inabidi.Aiseee! Hakika itabidi niwe makini sana na mtt mana hadi wewe unanisisitiza hivi sio bure
Siyo inabidi.
Uwe makini kuanzia sasa
We are watching you very carefully

aiseeTupo half timeMbn mnakoroma sasa?
Nipe matokeoTupo half time