JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nakuamini Sakayo wangu.

Basi leo hata nlikuwa sina mpango wa ku chat sana hapa. Nilivo ona tu dada kipenzi changu umekuja

[emoji125] fastaaa nikaja [emoji23]
Asante kwa kuniamini kipenzi kaka!!

Na asante kwa kuja just for me!! Naomba upumzike sasa mwaya, nami nilale sasa!!

Nikutakie usiku mwema, Mungu akulinde my dear!!
 
Back
Top Bottom