JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tuanze na dua jamani,tuwaombee wenzetu ambao wikiendi hii imewaendea kombo..kesho kazini nawatakia kazi njema popooooooZ. wote
 
Nina imani bado sijachelewa. Maamuzi yanaweza kubadilika muda wote ule na siwezi kukulazimisha siku ukiwa tayari utanikuta huku nakusubiri [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hivi ni kweli katuacha kabisa au mbwembwe tuu?
 
Demiss hebu mpapase Mshana Jr kama yupo hapo au umelala na mgomba[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Kuna mtu kamuona anaingia mortuary ya Amana kinyume nyume [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli wala hajakosea yupo kazin
 
Back
Top Bottom