Swahili please?I am not bored, am i welcomed?
Haya ntakua nnamsaidia kukupa home works.Ndo nimeanza somo kwa mme saiv la kingereza
No english, no service given!!Swahili please?
Pollee jmn ,mkumbatie shemej ucngizi utaluja tenaaaMe kuna fala mmoja hivi kaniamsha hapa.nime mmaind balaa, hajui tu
Ur firedNo english, no service given!!
Poleee sanaMe kuna fala mmoja hivi kaniamsha hapa.nime mmaind balaa, hajui tu
Haya bana, let me wish you a good night!!Ur fired
Kesho baada ya lindo nataka nikuanzishie uzi matata hadi tuiteke Couple ya mshana na DemissJamani nimekuja kuwaaga rasmi humu. Sitakuja tena naondoka zangu. Kama kuna niliyemkosea kwa namna yoyote ile naomba anisamehe binafsi sina neno na yeyote kati yenu. Mmekuwa zaidi ya marafiki.
Mwauliza sababu ya kuondoka kwangu? Jibu ni moja tu:
"Nimechoka kuwaita shemeji huku nikishuhudia mashost zangu wanavyobebishwa"
Nani mtajeKuna mtu nimemmiss humu lol
Yupo kazin analishana na maitiHaya bana, let me wish you a good night!!
Msalimie Jr hapo.
Couple yetu inaingiaje hapo wewe looohKesho baada ya lindo nataka nikuanzishie uzi matata hadi tuiteke Couple ya mshana na Demiss
Pollee jmn ,mkumbatie shemej ucngizi utaluja tenaaa
SanteeeePoleee sana
Itabidi urudi kwanguHuu uzi umepoaa sanaView attachment 725376
HahahahaaaaCouple yetu inaingiaje hapo wewe loooh
Kila sku nakuambia mchukue tu thad nashangaa unajizungusha zungusha why?