JamiiForums Usiku wa manane
Confession:
Muda si mrefu nilitaka uziwa papuchi Kwa 50000.
Anaitwa Natasha,NIMEKATAA Acha libido ikaniue.
Huku Cambodia bwana!Bora bongo
 
Jamani nimekuja kuwaaga rasmi humu. Sitakuja tena naondoka zangu. Kama kuna niliyemkosea kwa namna yoyote ile naomba anisamehe binafsi sina neno na yeyote kati yenu. Mmekuwa zaidi ya marafiki.

Mwauliza sababu ya kuondoka kwangu? Jibu ni moja tu:
"Nimechoka kuwaita shemeji huku nikishuhudia mashost zangu wanavyobebishwa"
Dah! Thad umefikia hatua hii,tutaishije humu?
 
Kwema humu.
Kwemaaaaaaaa
image_search_1521632538522.jpg
 
Back
Top Bottom