JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani nimekuja kuwaaga rasmi humu. Sitakuja tena naondoka zangu. Kama kuna niliyemkosea kwa namna yoyote ile naomba anisamehe binafsi sina neno na yeyote kati yenu. Mmekuwa zaidi ya marafiki.

Mwauliza sababu ya kuondoka kwangu? Jibu ni moja tu:
"Nimechoka kuwaita shemeji huku nikishuhudia mashost zangu wanavyobebishwa"
 
Hey mbona sioni sababu ya msingi ya wewe kuondoka. Karibu katika ulimwengu wa mibebishano [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Thad nakupenda mama usiondoke ukaniacha mwenyewe.
 
daah!
I am very sorry for that,
We will all miss you.

We had a good time by the way. You are such an amazing girl.
 
Hey mbona sioni sababu ya msingi ya wewe kuondoka. Karibu katika ulimwengu wa mibebishano [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Thad nakupenda mama usiondoke ukaniacha mwenyewe.
Kwangu mimi ni sababu tena kubwa [emoji12]
Nashukuru kwa mibebishano yako ila umechelewa nimeshaamua [emoji8]
 
Nina imani bado sijachelewa. Maamuzi yanaweza kubadilika muda wote ule na siwezi kukulazimisha siku ukiwa tayari utanikuta huku nakusubiri [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Jamani nimekuja kuwaaga rasmi humu. Sitakuja tena naondoka zangu. Kama kuna niliyemkosea kwa namna yoyote ile naomba anisamehe binafsi sina neno na yeyote kati yenu. Mmekuwa zaidi ya marafiki.

Mwauliza sababu ya kuondoka kwangu? Jibu ni moja tu:
"Nimechoka kuwaita shemeji huku nikishuhudia mashost zangu wanavyobebishwa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shost umechafukwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom