HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nilipoteza direction gafla ikabidi nirudi nilipotoka. Demiss ulicho nifanyia sio sawaacha uongo we hb nilikwambia urud dom hutak
Nilipoteza direction gafla ikabidi nirudi nilipotoka. Demiss ulicho nifanyia sio sawaacha uongo we hb nilikwambia urud dom hutak
Ni wazuri kwa sababu hawana complicationsWakubwa si ndiyo wazuri mkuu
Nimekufanyia nn bhn chukua glass hiyo kwanza upozee koooNilipoteza direction gafla ikabidi nirudi nilipotoka. Demiss ulicho nifanyia sio sawa
Demiss acha zako, mbona ule uzi ulichangia kilugha vizuri sanaNdio mm la saba na kingereza wapi na wapi
Koo limesha poa ila moyo bado haujapoaNimekufanyia nn bhn chukua glass hiyo kwanza upozee kooo
Uzi gan tena na wewe nikumbusheDemiss acha zako, mbona ule uzi ulichangia kilugha vizuri sana
Haya nambie nakusikiliza leta mashtakaKoo limesha poa ila moyo bado haujapoa
UmenitelekezaHaya nambie nakusikiliza leta mashtaka
Tatizo nyota yako imefifiaUmenitelekeza
Niko salama kabisaMi nipo ok sweet heart, sijui kwa upande wako...
Naona umeshaanza kuingia darasaniTatizo nyota yako imefifia
Hahaha hilo siyo la kuulizaNaona umeshaanza kuingia darasani
Leo una codes ngumuKuna yule jamaa ameshaanza kushasha mikono taratibu






. Kuna mtu kamuona anaingia mortuary ya Amana kinyume nyume 







Kwema WhitehorseDemiss hebu mpapase Mshana Jr kama yupo hapo au umelala na mgomba. Kuna mtu kamuona anaingia mortuary ya Amana kinyume nyume
![]()