Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
NanKuna muhenga anautesa moyo wangu![]()
NanKuna muhenga anautesa moyo wangu![]()
Hakuna haki hapo. Ina maana yeye ni pambo la nyumba kama wahenga wanavyo semaHivi mke wako anapokuwa anakunyima papuchi hasa kipindi kama hichi cha baridi anakutendea haki kweli
Na nnNitakabwa tu
Sikuelewi umekunywa nn leoAlinizidi zaidi ya miaka sita ila moyo niliwekeza kwake![]()
Mkuu vipi unaishi na mtu sio chaguo lako la moyo?Alinizidi zaidi ya miaka sita ila moyo niliwekeza kwake![]()
LohZilipendwa ni fariji japo kidogo
Sio wa huku ndani
Hatuishi pamojaMkuu vipi unaishi na mtu sio chaguo lako la moyo?
So nikichepuka hukumu hapo inadondokea kwangu au kwa mke wangu kiimani... Hebu tuliweke hili sawa... Maana mnyama ananguluma halafu mtu anavuta shukaHakuna haki hapo. Ina maana yeye ni pambo la nyumba kama wahenga wanavyo sema
Kwani uongo si uliniacha kwenye mataa pale dom sijui hata sehemu gani
Unaishi na wa moyo mkuuHatuishi pamoja
Dunia haina usawa siku zoteSo nikichepuka hukumu hapo inadondokea kwangu au kwa mke wangu kiimani... Hebu tuliweke hili sawa... Maana mnyama ananguluma halafu mtu anavuta shuka
Do you speak only KiswahiliSikuelewi umekunywa nn leo
Tusitafute usawa mkuu, tutafute hakiDunia haina usawa siku zote
Oooh poleeeSio wa huku ndani
Kwani uongo si uliniacha kwenye mataa pale dom sijui hata sehemu gani


acha uongo we hb nilikwambia urud dom hutakNa maanisha nipo kwenye 20+ yeye yupo kwenye 30+ range miaka sita. Ila amenikamata ile mbayaUnaishi na wa moyo mkuu
Ndio mm la saba na kingereza wapi na wapiDo you speak only Kiswahili
Wakubwa si ndiyo wazuri mkuuNa maanisha nipo kwenye 20+ yeye yupo kwenye 30+ range miaka sita. Ila amenikamata ile mbaya