Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Sijaona mimi...Hakuna cha kujua unapendwaaa kila mtu anataman awe wifiii wa Demiss
Sijaona mimi...Hakuna cha kujua unapendwaaa kila mtu anataman awe wifiii wa Demiss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananiamini jaman mke wakeeeeHuyo naye kumbe hana lolote....anaondokaje hajakuzimisha ili usiamke
hapana chief
kupatana nini?[emoji20][emoji20] hebu niache tafadhali...ruka na ulozi wakoWewe tena sjui nan aanzishe siledi ya kutupatanishaa
Poa mkuu njozi njemaLaleni salama wote wadau...mi naenda kujiegesha saa hizi
Uzi gan unataka zaid ya ule wa asubuhiMbona siuoni...
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Mwambie huyo, wa Iringa ndio wanasema niangusage tu be!!
Okay chief, pumzika. Usiku mwemaLaleni salama wote wadau...mi naenda kujiegesha saa hizi
Yawezekana nyota yako ina utandooo haionekan vizurInamaana mimi tu ndio nahitaji kusafisha nyota nitoe nuksi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kupatana nini?[emoji20][emoji20] hebu niache tafadhali...ruka na ulozi wako
Njoo nikusafishie nyota [emoji12] [emoji12] [emoji12]Inamaana mimi tu ndio nahitaji kusafisha nyota nitoe nuksi?
mimi simuelewi huyo ndugu yako unajua..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzi wa kuzimikiwa....Uzi gan unataka zaid ya ule wa asubuhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupatana nini?[emoji20][emoji20] hebu niache tafadhali...ruka na ulozi wako
Shem usiniache bwana, nisubiri tuondoke wote....hawa waliobaki siwaamini hata[emoji23] [emoji23] [emoji23]Good night babe shem...i love you!
Taratibu tu utamuelewa..mimi simuelewi huyo ndugu yako unajua..
Roho mbaya tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba unitafsirie tafadhaliYou must select very careful the kind of words you use Boss. It will serve you big times
Na wewe pia ulale salamaNimesikia kishindo kama gunia limedondoka seblen
Yawezekana mme amerud kutoka kwenye ulozi usiku mwema wapendwaaa