Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Nakusalimu my x hb![]()
![]()
![]()
![]()
demiss kaingia miti anajua alichofanya. Jje's shahidi yangu, kwenye issue ya kutaka kutangaza nia kwa thad
Nakusalimu my x hb![]()
![]()
![]()
![]()
demiss kaingia miti anajua alichofanya. Jje's shahidi yangu, kwenye issue ya kutaka kutangaza nia kwa thad
Shangaa... Kweli nimeamini mwenye pesa si mwenzakoKwanini hii kesi imeenda harakA kama ya sugu
Itakuwa mbwai mbwai blazaHiyo vita anza na Mm tafadhali
Siku hiyo nilitoka siku moja kabla nikasafiri nikaenda kulala sehemu karibu na kituoa cha kuchinjia, siku husika niliamuka mapema nikaanza safari kuelekea kituoni. nilipofika nikapanga foleni ilikuwa kubwa yenye kukatisha tamaa ila sikujali hadi nikafika kunako kuhalalisha jambo likiwa limeelekezwa kunako Kibla.Siku hiyo nakumbuka jua lilinitwanga baraaabara, nikanunua maji kiroho safi nikagawia watu pale ilikua mida ya saa tano jua linachoma utosini, bashasha hazikupungua usoni tukiamini safari ya matumaini inaanza..kama msimamo hautabadilika, kichinjio kitaendelea kutumika kwa matumizi mengine ya ID lakini sio shughuli zozote za NEC
AiseeMwifwa mzugaji sana![]()
![]()
![]()
njoo kwangu utulize moyo thad![]()
![]()
![]()
![]()
Huyo ndo anakufaaaa sn yan usimuacheau demiss unasemaje? si mtoto mashalaah kabisa huyu![]()
Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwaNakusalimu my x hb
Itakuwa mbwai mbwai blaza
Vita kati ya nani na nani?Hapa vita ya kwanza ya JF inanukia...waweke fire extinguisher kwenye server zao.

Hahaha ni wakati Wa kuwa na mtoto InnaHahaaa shenzi kabisa ww, utakuwa na matatizo si bure.
Shangaa... Kweli nimeamini mwenye pesa si mwenzako
cc Michepuko yako...Mwanaharakati mzugaji
Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa



sna neno wewe mpende tu thadSisomi...![]()
![]()
![]()
hayo yashapita hebu someni namba tu
Kumbe hadi wewe bado uaminiShangaa... Kweli nimeamini mwenye pesa si mwenzako
ndio mkuu nimepanda noah na nissan tu.......mabasi ya kusini badoKijana, umewahi kupanda Noah au Nissan? Au kwa kukusaidia, mabasi ya mikoa ya kusini umeshawahi kusafiri nayo?

Badamu batamwagikaHapa vita ya kwanza ya JF inanukia...waweke fire extinguisher kwenye server zao.
