Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Mwifwa mzugaji sanaSaa kumi wakati Mwifwa anaamka 12.34 asubuhi bila aibu anasema alikua lindo anafunga geti.

Nilivyorudi mbona ulitangaza kwa Demiss na sio kwangu tena?![]()
![]()
![]()
ulipotea kipindi kile nilitaka kutangaza nia
Huyo mtu nafahamu vizuri wapi yupo. Pia nasitika kukupa taarifa kuwa amesahau kila kitu
Iceman 3D na carbamazepine niliwambia muda fulani kuwa lilia uzuri sio bahati kwasababu:-
1.Mimi nilileta uzi wa kutafuta mwenza hapa lakini sikupata PM hata moja licha ya kuweka vigezo vya chini kabisa,kisa na mkasa nina sura ya babu yangu na umbo la mjomba wangu baunsa.
2. Nikiwa darasani nijitahidi sana kumtega mwl.wangu Nleterewa Nganengo lakini wapi...ndio kwanza hata kilinge kakikimbia kisa sina uzuri.
3. Nikaamua kumtega mwl.wangu Mwifwa kwa kila aina ya mitego lakini wapi, ndio kwanza anampaparikia mumu
4.Nikasema ngoja nijaribu bahati yangu kwa HB wa Kigogo, lol kaniacha mchana kweupe kaenda kwa Demiss
5. Nikahamia kwa dingimtoto ndo hata hakugeuka busy kumgombania Inna yeye na mjr95
6.Nikaona isiwe tabu Kichwa Kichafu atanifaa, thubutu hata jicho hakupepesa mbiombio kwa jje's
7.Nikajilengesha kwa Manga ML, duh kumbe hana habari na mimi yuko zake kwa Maserati anayemendewa na Spade 4 spade.
8. Nikasema ngoja nijichekeshe,chekeshe kwa Joseverest labda yeye atanielewa kumbe yuko kwenye list ya wanaomgombea Neybright kama mpira wa kona.
9. Nimejichetua kwa No Escape na ipogolo wapi?
10. Nikajipitisha pitisha kwa Samaritan,nikaona yeye kanielewa kanitumia mpaka muamala tobaaa alivyoiona tu sura yangu akasitisha muamala
Ndio maana nawaambia ndugu zangu kuwa lilia UZURI usililie BAHATI maana kama bahati ninayo sana tu ndio maana nashindaga tatu mzuka na biko ila mbona sigombaniwi na mimi kama mpira wa kona kama wenzangu?![]()
Sio mbaya kiongozi. Mambo yanaendaje?Kwema boss. Habari ya siku nyingi
Mwanaharakati mzugajiNawazoooomm tu
Siku hiyo nakumbuka jua lilinitwanga baraaabara, nikanunua maji kiroho safi nikagawia watu pale ilikua mida ya saa tano jua linachoma utosini, bashasha hazikupungua usoni tukiamini safari ya matumaini inaanza..kama msimamo hautabadilika, kichinjio kitaendelea kutumika kwa matumizi mengine ya ID lakini sio shughuli zozote za NEC
hayo yashapita hebu someni namba tuPopo jamvi ni lakoPopooooooooooooooz
Hii analysis huwa inaniozesha moyo, nitakuanzishia uzi.......Iceman 3D na carbamazepine niliwambia muda fulani kuwa lilia uzuri sio bahati kwasababu:-
1.Mimi nilileta uzi wa kutafuta mwenza hapa lakini sikupata PM hata moja licha ya kuweka vigezo vya chini kabisa,kisa na mkasa nina sura ya babu yangu na umbo la mjomba wangu baunsa.
2. Nikiwa darasani nijitahidi sana kumtega mwl.wangu Nleterewa Nganengo lakini wapi...ndio kwanza hata kilinge kakikimbia kisa sina uzuri.
3. Nikaamua kumtega mwl.wangu Mwifwa kwa kila aina ya mitego lakini wapi, ndio kwanza anampaparikia mumu
4.Nikasema ngoja nijaribu bahati yangu kwa HB wa Kigogo, lol kaniacha mchana kweupe kaenda kwa Demiss
5. Nikahamia kwa dingimtoto ndo hata hakugeuka busy kumgombania Inna yeye na mjr95
6.Nikaona isiwe tabu Kichwa Kichafu atanifaa, thubutu hata jicho hakupepesa mbiombio kwa jje's
7.Nikajilengesha kwa Manga ML, duh kumbe hana habari na mimi yuko zake kwa Maserati anayemendewa na Spade 4 spade.
8. Nikasema ngoja nijichekeshe,chekeshe kwa Joseverest labda yeye atanielewa kumbe yuko kwenye list ya wanaomgombea Neybright kama mpira wa kona.
9. Nimejichetua kwa No Escape na ipogolo wapi?
10. Nikajipitisha pitisha kwa Samaritan,nikaona yeye kanielewa kanitumia mpaka muamala tobaaa alivyoiona tu sura yangu akasitisha muamala
Ndio maana nawaambia ndugu zangu kuwa lilia UZURI usililie BAHATI maana kama bahati ninayo sana tu ndio maana nashindaga tatu mzuka na biko ila mbona sigombaniwi na mimi kama mpira wa kona kama wenzangu?![]()
Nipo, nimejaa tele kama pishi la mcheleSamahani Sikujua kama upo serious
Sikutangaza kwa kweli ili tokea tuNilivyorudi mbona ulitangaza kwa Demiss na sio kwangu tena?
Kweli !? Hebu niapie ili siku utakayonianzishia uzi nipake make up kabisaHii analysis huwa inaniozesha moyo, nitakuanzishia uzi.......
Nipo, nimejaa tele kama pishi la mchele
Kwa kuwa mi mzuri si eti eeehSikutangaza kwa kweli ili tokea tu

Hii analysis huwa inaniozesha moyo, nitakuanzishia uzi.......
Natangaza vita kwa atakae kugusa usalAma wako juu yangu bibieIceman 3D na carbamazepine niliwambia muda fulani kuwa lilia uzuri sio bahati kwasababu:-
1.Mimi nilileta uzi wa kutafuta mwenza hapa lakini sikupata PM hata moja licha ya kuweka vigezo vya chini kabisa,kisa na mkasa nina sura ya babu yangu na umbo la mjomba wangu baunsa.
2. Nikiwa darasani nijitahidi sana kumtega mwl.wangu Nleterewa Nganengo lakini wapi...ndio kwanza hata kilinge kakikimbia kisa sina uzuri.
3. Nikaamua kumtega mwl.wangu Mwifwa kwa kila aina ya mitego lakini wapi, ndio kwanza anampaparikia mumu
4.Nikasema ngoja nijaribu bahati yangu kwa HB wa Kigogo, lol kaniacha mchana kweupe kaenda kwa Demiss
5. Nikahamia kwa dingimtoto ndo hata hakugeuka busy kumgombania Inna yeye na mjr95
6.Nikaona isiwe tabu Kichwa Kichafu atanifaa, thubutu hata jicho hakupepesa mbiombio kwa jje's
7.Nikajilengesha kwa Manga ML, duh kumbe hana habari na mimi yuko zake kwa Maserati anayemendewa na Spade 4 spade.
8. Nikasema ngoja nijichekeshe,chekeshe kwa Joseverest labda yeye atanielewa kumbe yuko kwenye list ya wanaomgombea Neybright kama mpira wa kona.
9. Nimejichetua kwa No Escape na ipogolo wapi?
10. Nikajipitisha pitisha kwa Samaritan,nikaona yeye kanielewa kanitumia mpaka muamala tobaaa alivyoiona tu sura yangu akasitisha muamala
Ndio maana nawaambia ndugu zangu kuwa lilia UZURI usililie BAHATI maana kama bahati ninayo sana tu ndio maana nashindaga tatu mzuka na biko ila mbona sigombaniwi na mimi kama mpira wa kona kama wenzangu?![]()

Karibu kiongozihodi hodi wakuy
Nimeshafunga huo ukurasa, sasa hivi napambana na hali yangu.....nimeshakubali kuwa no way outKwahiyo maombi bado unapokea?