Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
Mmh!Ndiyoo,baridiiii
Mmh!Ndiyoo,baridiiii
Demiss kaniacha kwenye mataa kahamia kwa jrDemiss anabembeleza ndoa changa. Alikanyaga ndumba za Mshana amenasa hukohuko
Kama kawaida.....
[emoji18] [emoji18]Mmh!
Atakua anapaa na mshana saa hiziDemiss yuko wapi jamani Mimi huku usingizi umegoma yaani macho makavu kama kuni ya pori la biharamlo
aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
Usiniharibie siku.....Nipo hapa mkubwa, naangalia movie inaitwa election 2015, nimeweka slow motion kuona nyuso za watu walipokua katika lile zoezi...
Demiss kaniacha kwenye mataa kahamia kwa jr
Mambo ni mazito.Dawa zikiisha nguvu atarudi tu. Ila kwamba anarudi lini hatuna uhakika.
Hahaha Iceman 3D nae chaliLeo watu chali cha mende mapema kabisa
Kumbatia simu maana Ina joto joto[emoji23]Popoz,
Usiku mwema wote mie Leo mmmmh. Sio kwa kibaridi hiki.
Bye
Na makucha yakePopozi kumekucha
Leo watu chali cha mende mapema kabisa
Jirani kipenzi nimekumissUlale salama Dear
Usiniharibie siku.....
Huyo mtu nafahamu vizuri wapi yupo. Pia nasitika kukupa taarifa kuwa amesahau kila kituNdio hivo sasa mtumie ujumbe huyo carbamazepine awahi kuja, nilianzisha hapa baba ubaya hatii mguu vita yake bora ushambuliwe na Osama. Ntaweka ndani wazee wa baraza na mashahidi. Karani mahakimu na wafanyakai nafunga wote. Hapo sijadai fidia za kesi na kunitweza heshima.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ulipotea kipindi kile nilitaka kutangaza niaIceman 3D na carbamazepine niliwambia muda fulani kuwa lilia uzuri sio bahati kwasababu:-
1.Mimi nilileta uzi wa kutafuta mwenza hapa lakini sikupata PM hata moja licha ya kuweka vigezo vya chini kabisa,kisa na mkasa nina sura ya babu yangu na umbo la mjomba wangu baunsa.
2. Nikiwa darasani nijitahidi sana kumtega mwl.wangu Nleterewa Nganengo lakini wapi...ndio kwanza hata kilinge kakikimbia kisa sina uzuri.
3. Nikaamua kumtega mwl.wangu Mwifwa kwa kila aina ya mitego lakini wapi, ndio kwanza anampaparikia mumu
4.Nikasema ngoja nijaribu bahati yangu kwa HB wa Kigogo, lol kaniacha mchana kweupe kaenda kwa Demiss
5. Nikahamia kwa dingimtoto ndo hata hakugeuka busy kumgombania Inna yeye na mjr95
6.Nikaona isiwe tabu Kichwa Kichafu atanifaa, thubutu hata jicho hakupepesa mbiombio kwa jje's
7.Nikajilengesha kwa Manga ML, duh kumbe hana habari na mimi yuko zake kwa Maserati anayemendewa na Spade 4 spade.
8. Nikasema ngoja nijichekeshe,chekeshe kwa Joseverest labda yeye atanielewa kumbe yuko kwenye list ya wanaomgombea Neybright kama mpira wa kona.
9. Nimejichetua kwa No Escape na ipogolo wapi?
10. Nikajipitisha pitisha kwa Samaritan,nikaona yeye kanielewa kanitumia mpaka muamala tobaaa alivyoiona tu sura yangu akasitisha muamala
Ndio maana nawaambia ndugu zangu kuwa lilia UZURI usililie BAHATI maana kama bahati ninayo sana tu ndio maana nashindaga tatu mzuka na biko ila mbona sigombaniwi na mimi kama mpira wa kona kama wenzangu? [emoji6][emoji6][emoji6]
Kwema boss. Habari ya siku nyingiKwema huku