Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Kiongozi wangu mkuu karibu tena tumerudi kwa fujo na himbio sio za nchi hii[emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125]
Kiongozi wangu mkuu karibu tena tumerudi kwa fujo na himbio sio za nchi hii[emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125]
Then what???Sio jambo rahisi
EheheheeeeeHivi zile kuni za jana hazijalowa na mvua??[emoji125][emoji125][emoji125]
Ukionja asali shuruti utengeneze na mzinga wa nyukiKuna kitu movie hapa, kilininogea nikaamua kupiga deshi usiku sasa kimeisha na minyoo imechachamaa yaani nimejikuta na popoka bila kupenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wanasema eti nilijiteka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ahahahaaaaaa shemejiiii, namvizia honey wangu [emoji6]Nasikia raha uwepo wako zama zisharudi ujue ha ha haaa
Thad ni mchochezi sanaEheheheeeee
Baba ake mdogo chanja au shemeji yupi?? Maana Nina mashemeji humu hatariMwambie shemejio atuwekee na wimbo wa Asley [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Naona lindo limemshinda anakuja kuchungulia muda ukikaribia wa kufunga geti
Ooh kumbe,Watu wanakaribia kushiba wewe unaanza na salamu huku punje zimebaki kiduchuku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mkuu
Embu simama kidogo ninajambo nataka tutete[emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125]
Bwana weee...jana niliumbuka na kuni zangu, kila nikitafuta mafiga ili nichochee moto nakuta watu wamesameheana na kukumbatiana....lol, ikabidi nizitupe kuni zangu[emoji18] [emoji18] [emoji18]Hivi zile kuni za jana hazijalowa na mvua??[emoji125][emoji125][emoji125]
Salama baba chanja. Nimekumiss tuNjema tu za uwepo wako?
Jirani wa DUNIAAAMie ninaupendo sana mydear, sema tuu watu hawanielewi. Siunakumbuka ile list tena hakuna popo niliyemuacha. Haki nyie ni watu wangu wa nguvu
Yupi sasa maana wapo [emoji111][emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahahahaaaaaa shemejiiii, namvizia honey wangu [emoji6]
Sijui yupo wapi leo
Furaha moyoniMbona hivyo lakini?