Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Nimemuita atarudi muda sio mrefuWacha wee ...
Jos.....alisema atarudi sijui ameshafika?
Nimemuita atarudi muda sio mrefuWacha wee ...
Jos.....alisema atarudi sijui ameshafika?
Huyo huyo..Baba ake mdogo chanja au shemeji yupi?? Maana Nina mashemeji humu hatari
Mi nadhani nimebomoa mzingaUkionja asali shuruti utengeneze na mzinga wa nyuki
Pole dogo umefika imetoshaJamani nimechelewa lindo naumwa hatariii
Umepoteaaa[emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125]
Tupooo,za wewe?Wakuu mpo
Ivyo ivyo ule wako[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Wajumbe bundi on duty hali yake sio nzuri.Jamani nimechelewa lindo naumwa hatariii
[emoji3] [emoji3]Embu simama kidogo ninajambo nataka tutete
Nimekoma uchochezi tangu jana, masna si kwa kushushuka kule, ilinibidi niondoke kimya kimya bila kupenda.[emoji134] [emoji134]Thad ni mchochezi sana
OkeyMwalimu si ulisema tupo holiday lkn![emoji17]
Yaah ulinzi shirikishi.Tupo best, karibu tujumuike
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Oooh. Kipenzi,mzima wewe? Marhaba
Ndio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
@Neybright mbebez anaumwa huku[emoji125] [emoji125]Wajumbe bundi on duty hali yake sio nzuri.
Naomba kuwasilisha hoja mezani.
Pande za hapa getini pako powa sanaOoh kumbe,
Ndio sababu kuna jirani yangu hapa kaja bila kunishitua, namuona tuu [emoji15]
Asante, pande izo vip?
Unaumwa nini shemeji??? Au kutoboa kwa janaJamani nimechelewa lindo naumwa hatariii
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuma uchochezi tangu jana, masna si kwa kushushuka kule, ilinibidi niondoke kimya kimya bila kupenda.[emoji134] [emoji134]