Asante kwa kunihamu dear! Vp kaka yako Nleterewa Nganengo, yeye hajanihamu?Najikuta nakuhamu tu
Ndio Nani huyo ?Nikue nimfikie Hashim thabit???
Asante kwa kunisaidia kusema asee dah.Hivi inakuaje mpaka Saa 4 Saa 1 watu wanachat kama hawaelewi vile???sio fresh wala nini...kama hamuwezi kubundika na Ku popoka all night just kitulize tyuuuu
Sijamuelewa atiiii. Ha ha hahahahaha![]()
Sijambo! Mambo?Hujambo
HloooHeloooo
Baba chanja,za utokako?Asante kwa kunisaidia kusema asee dah.
Mna haribu maana ya huu uzi bhanaa akiwemo
MUHISIKA MKUU NO ESCAP
Sijambo shikamoo dadaBaba mdogo ake chanja naupenda huu wimbo,all the time. Ney hajambo?
Sio jambo rahisiHivi inakuaje mpaka Saa 4 Saa 1 watu wanachat kama hawaelewi vile???sio fresh wala nini...kama hamuwezi kubundika na Ku popoka all night just kitulize tyuuuu
Watu wanasema eti nilijiteka.Jana ulitekwa?
Hujachangia kweli saa mbili leoMimi kama mfunga geti la lindo maarufu hilo jambo nitarara nalo mbele, sijaribiwi mimi
Nimekumisscarba![]()
![]()
Mwanafunzi wangu mbona hujahudhuria class?hahaha![]()
Mwambie shemejio atuwekee na wimbo wa AsleyBaba mdogo ake chanja naupenda huu wimbo,all the time. Ney hajambo?

MamboHlooo