KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
duuuh kazi ipoWashatoweka tumebaki sis tu
duuuh kazi ipoWashatoweka tumebaki sis tu
Mm mwenyewe sjui kwannSiku hizi uki metion mtu hapati notifcation sinui kwanini?
Anajishtukia tu huyoHamna wa kukataa, hapa tupo kama washingiliaji wa mpira ambapo mnakutana hamjuani ila mtakacho kishabikia ndicho kitawaunganisha na kuzungumza pamoja
Tugawane tununue ghahawaTena ya wiki nzima,maana hajatoa taarifa
Nimeonaaa aise hatar
Kweli mkuuduuuh kazi ipo
Sasa si mbona tushafunga milango na geti...tupo kitandani ndani ya shuka tayariWacha weee....naomba kuongozana nanyi nikalale kwenu maana muda huu maza hausi atakuwa ameshanifungia mlango
Aisee mkuu unapenda kuchekatehteehh.....![]()
![]()
Mie tena. Akipiga tu zimefikaMsalimie sana.
Mwambie I wish one day nionane naye
Umerudi?Tugawane tununue ghahawa
Bila cheko, mwanya wangu hauto onekana mkuu....Aisee mkuu unapenda kucheka

Nimerud nilienda kukogaaa kidogo kujiswafiii mwiliUmerudi?
Hilo mwanya au pengoBila cheko, mwanya wangu hauto onekana mkuu....![]()
![]()
Safi karibu tenaNimerud nilienda kukogaaa kidogo kujiswafiii mwili
Aisee huo mwanya au kichochoro cha mwananyamala komakomaBila cheko, mwanya wangu hauto onekana mkuu....![]()
![]()
Ni mwanya wa mahabat wallah....tehteehhHilo mwanya au pengo
Shost hebu nipe sir ya nywele hizoHilo mwanya au pengo
Huu mwanya ndio riba kwa bibi yenu haki...Aisee huo mwanya au kichochoro cha mwananyamala komakoma

Asantee sana Hatimaye tumeianza jumamos ya upendoSafi karibu tena
Aiseee mkuu upo vizurNi mwanya wa mahabat wallah....tehteehh