HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Naona. Ni siku nyingine tenaAsantee sana Hatimaye tumeianza jumamos ya upendo
Naona. Ni siku nyingine tenaAsantee sana Hatimaye tumeianza jumamos ya upendo
Naomba nilale kesho siku nzima nitashinda nimelala piahNaona. Ni siku nyingine tena
Utashinda umelala? Okey usiku mwema malaika wa bwana akukumbatieNaomba nilale kesho siku nzima nitashinda nimelala piah
Kama kawa tupo.Mpooh..
TupooNaona mmeamua kuniachia jukwa teh! teh! Wacha nijitawale tu humu.
Ulete mrejesho
Afadhali umekuja, kabla ya kukujibu swali lako naomba majibu ya barua niliyokupa umpelekee kaka yako Nleterewa Nganengo![]()
![]()
Nilikumiss dear, vip Kichwa Kichafu hajambo?
PoleeeNimeota ndoto mbaya wadau
ahahahhahahahaha![]()
![]()
Pole best, hakika baridi huwa inatufanya tuuone umuhimu wa ndoa!
Hiyo Glenfudich ndo nn bestNikiwa na Heineken ama Glenfidich nakesha mpaka kesho kutwa.
MhhhhAfadhali umekuja, kabla ya kukujibu swali lako naomba majibu ya barua niliyokupa umpelekee kaka yako Nleterewa Nganengo![]()
![]()
Nilikumiss dear, vip Kichwa Kichafu hajambo?
Umepotelea ndotoni mkuuNimeota ndoto mbaya wadau
remember your promise baby shemahahahhahahahaha
Unarnda wapi?Good night popoz..muwe na usiku mwema
Siwez sahau kbsaremember your promise baby shem