Mnara 4GHapo ndio penyewe
Ahsante chief,..aina gani ya kahawa leo!?
Naomba nisaidie kubebaaa tafadhaliYana bebeka sana tu
Gahawa ishanishinda hata ninywe na kashataHewaa......hicho ni kipoozea kwa wanaoshindwa kupambana na utamu wa asili wa gahawa
Haswaaa naweza hata lala kabisaaa usingizi mnonoNafurahi kusikia kuwa wajihisi safe unapokuwa mahali hapa
Tutamwambia alipe helaa ya utoroooAhh tapeli huyoo,achana naee![]()
![]()
![]()
![]()
Sijui na vijiweni vya uswahili nao wanapotea hivi kama hukuNa wengi wao akija leo ndo anapotea
Huyu ndio wa uhakikaaUkimtaka Inna mtafute shemela wangu Saint Ivuga
Ondoa shaka mamalaoooNaomba nisaidie kubebaaa tafadhali
Hujanijibu bado
Siku hizi uki metion mtu hapati notifcation sinui kwanini?Umemuona akupe jibuuu mamy
Ohoooo usilale bwana, tunahitaji uwepo wakoHaswaaa naweza hata lala kabisaaa usingizi mnono
ZimenivutiaHujanijibu bado
Si umeona keshakimbia tayariSijui na vijiweni vya uswahili nao wanapotea hivi kama huku
Tena ya wiki nzima,maana hajatoa taarifaTutamwambia alipe helaa ya utorooo
Leo lindo liko mikononi mwakoHi chief chief....