Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Sawa nasubiri mana namii nakusindikiza tu nipo hoiUnavonijulia sasa baba chanja. Hata takuaga
Sawa nasubiri mana namii nakusindikiza tu nipo hoiUnavonijulia sasa baba chanja. Hata takuaga
Atakuwa kibaruani banaNilimuona hapa kati nilipita kimya nashangaa hizi siku mbili atakua karudi mirembe
Atakuja mwezi ujao tenaAfike salama huko aendako
Utashushia na chibuku ya wanzuki huku ukifika lindoniWeeee,ngoja basi nimalizie balimi zangu kabisaaaa
LabdaAtakuwa kibaruani bana
Baba chanja,mie usingizi taabani. Tupumzike sasaLabda
Utashushia na chibuku ya wanzuki huku ukifika lindoni
kwakuwa zote za nyumbani hazigombani,.ngoja nisogee langoni

Sa hizi hu kwenye viroba hilo usemalo hapanaHuyo bwana Nleterewa Nganengo, atakuwa busy kupanda mbegu za kuijaza dunia....
Ngoja tuwaulize jje's (dadaye)
Na Neybright (jiraniye)
tehteehh.....Huyo bwana Nleterewa Nganengo, atakuwa busy kupanda mbegu za kuijaza dunia....
Ngoja tuwaulize jje's (dadaye)
Na Neybright (jiraniye)

Hata mwendo kasi mambo ni hayoHahahahahaaaaa
Hilo daladala la mbagala eeehh
HahahahahahaaBila shaka vijana mmepitia hatua hii labda wale wa seminari....
![]()
Thikumuonaa![]()
![]()
jana jje's alipita kuchungulia kidogo.
Shemeji jumapili yako ikoje?Utashushia na chibuku ya wanzuki huku ukifika lindoni
Comred unapenda kucheka, hivi hayo mapengo hayakufanyi uone aibu?tehteehh.....![]()
![]()

Asante kiongoziUmekija mkongwe karibu
HayaotiiiComred unapenda kucheka, hivi hayo mapengo hayakufanyi uone aibu?![]()
![]()
![]()
Hivi kinachowafanya muogope ni nini?Hahahahahahaa
Ni ile kusema kesho lazima nimuibukie mtoto, kesho ikifika na ukikutana naye unaishiwa point na kuishia kujing'ata vidole.
Ukienda kuwaeleza washikaji zako wanaanza kukushushia maneno na hapo unajikaza na kujiapiza kuwa siku inayofuata lazima umalize mchezo, kibaya zaidi hali inabaki vile vile.
Mwishowe wanakuchukua kwa nguvu na kukupeleka kabisa