JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

b552b73ba119d34065028a32c3670ac6.jpg

Kashata hutaki.....!?
Imepelea hamsini hapo ikamilike hela ya kashata, bundi mmoja ajitose basi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Imepelea hamsini hapo ikamilike hela ya kashata, bundi mmoja ajitose basi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Waache bwana

Nitambembeleza muuzaji aniongeze gahawa kikombe kingine......

Wanaweza kukuchangia hamsini kesho wakakufungulia uzi kuwa wamekufadhili dinner....
 
Back
Top Bottom