JamiiForums Usiku wa manane
Poa mumu......karibu sana
Kuhusu tatizo lako.

Kuna meno ambayo huchelewa kuota ili kukamilisha idadi ya meno 32 kwa mtu mzima.

Meno hayo ni magego yanayojulikana kama Third molars(Wisdom teeth).

Huanza kujitokeza(kukua) kuanzia umri wa 17/18-25 yrs.

Hujitokeza mwisho kwenye magego ama kwenye taya la juu au chini.

Wakati wanajitokeza/kukua huwa kunakuwa na maumivu ambayo unayasikia lakini yakikamilika kuota hayo maumivu yanaisha.

Sasa linganisha tatizo lako na haya maelezo kama yanaendana basi jua tatizo litatoweka pindi haya meno yakikamilika kuota
 
Vijana mpo
Sisi walinzi ndio kumekucha lindoni.....

6062e42c72b8305b9a07fbbad1203a53.jpg
Naona kashata pale
 
Kuhusu tatizo lako.

Kuna meno ambayo huchelewa kuota ili kukamilisha idadi ya meno 32 kwa mtu mzima.

Meno hayo ni magego yanayojulikana kama Third molars(Wisdom teeth).

Huanza kujitokeza(kukua) kuanzia umri wa 17/18-25 yrs.

Hujitokeza mwisho kwenye magego ama kwenye taya la juu au chini.

Wakati wanajitokeza/kukua huwa kunakuwa na maumivu ambayo unayasikia lakini yakikamilika kuota hayo maumivu yanaisha.

Sasa linganisha tatizo lako na haya maelezo kama yanaendana basi jua tatizo litatoweka pindi haya meno yakikamilika kuota
Duh! Kumbe bado nina safari mbele yangu. Asante kwa elimu hii
 
Back
Top Bottom