Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Baba chanja nooo. Wewe ndio ulipotea mazimaMimi zaidi yani ukatupotea mazimaaa mpaka nikawa mvivu ujue
Baba chanja nooo. Wewe ndio ulipotea mazimaMimi zaidi yani ukatupotea mazimaaa mpaka nikawa mvivu ujue
Ukiingia unatakiwa ufuatilie uzi na kujibu comments na wewe utajibiwa, ukikaa kimya hatuwezi kujua kama kuna mtu yupo humuKila nikiingia humu naishia kutoka tu coz nakuta watu wengi humu wanachat kwa kujuana/kuzoweana,ukija mgeni si rahisi kupata sapoti..!!
Nilijua tuuuu,yaani nilijua tuuNinae mahala flani
mwambie nna shida nae basiSjamuona aisee hivi shemej hapa nan tumuulize inna yuko wapiZa mida shosti,.hivi Inna hujamuona mitaa hii leo?
Kama kawa mwenyewe karudi b. ThadHivi lindoni yuko nani leo??
Bila shaka haya ni majibu ya hongera niliyowapamabusuuuuuuuuu
Mambo ni fireeeeeeeeeeeeeeeee
Inna hajapita Ku sign leoZa mida shosti,.hivi Inna hujamuona mitaa hii leo?
Wacha weeeeeeeYani hapo umeniloga Kabisa
Ntaita mashahidi ujueBaba chanja nooo. Wewe ndio ulipotea mazima
Aiseee kumbe tunguli za mshana zimefanya kazi poyeeeee sana baby akeeee miyeeeeeYani hapo umeniloga Kabisa
Mjr95 huyu popo mpka muda huu yuko active,.au Saint IvugaSjamuona aisee hivi shemej hapa nan tumuulize inna yuko wapi
Ukimtaka Inna mtafute shemela wangu Saint IvugaNilijua tuuuu,yaani nilijua tuu![]()
mwambie nna shida nae basi
Na wengi wao akija leo ndo anapoteaUkiingia unatakiwa ufuatilie uzi na kujibu commente na wewe utajibiwa, ukikaa kimya hatuwezi kujua kama kuna mtu yupo humu
Asanteee shemela mpyaaaaaaBila shaka haya ni majibu ya hongera niliyowapa
Hahaha Mzee baba mwenyewe kumbeeeKama kawa mwenyewe karudi b. Thad
Aisee ngoja nisubir walete majibuMjr95 huyu popo mpka muda huu yuko active,.au Saint Ivuga
Baba chanja itaaaa. Mie mpaka namuulizia ney namuweka kingora akikuona aanze kulia lakini wapiiiii. Kimyaaaaaaaaa.Ntaita mashahidi ujue
Nambie upo poa lakini
Aaahh kuna jambazi Fulani yuko nae kamfungia etiiInna hajapita Ku sign leo
Aaaghaa wapi....inna kwa shemela ivuga tyuuuAaahh kuna jambazi Fulani yuko nae kamfungia etii