Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Upo mrembo
Huu ndo muda muafaka wa popo kutamba.....baadae mabundi wanaliendeleza
Huu ndo muda muafaka wa popo kutamba.....baadae mabundi wanaliendeleza
Hivi lindoni yuko nani leo??Huu ndo muda muafaka wa popo kutamba.....baadae mabundi wanaliendeleza
Hello mumu cha urembo wanguuuuHelooooowwww cha mdeko dekooo![]()
![]()
Nipo best, nilikumissUpo mrembo
Mambo ni hiviiiiiiiiMambo ni fireeeeeeeeeeeeeeeee









full mabusuuuuuuuuuuuleeeeeKaribu ndugu tupo pamoja kwe lindoKila nikiingia humu naishia kutoka tu coz nakuta watu wengi humu wanachat kwa kujuana/kuzoweana,ukija mgeni si rahisi kupata sapoti..!!
Za mida shosti,.hivi Inna hujamuona mitaa hii leo?Hello mumu cha urembo wanguuuu
Nilikwambia ukimwita kwa hiyo sauti yako nyororo atakuja tuJamani baba chanja is Herr. You are missed manga..
Wasiwasi wako tu,wauza kahawa wote tunasalimiana na kuzoeana,sababu popote tunaombana moto. Karibu popo..Kila nikiingia humu naishia kutoka tu coz nakuta watu wengi humu wanachat kwa kujuana/kuzoweana,ukija mgeni si rahisi kupata sapoti..!!
Nipo best, nilikumiss
Nisamehe best, maji yalizidi ungaUkanikmbia jana
Kashat meno mabovuuu naogopa aiseee nitaharibu urembo wa menooo![]()
Kashata hutaki.....!?
Yani hapo umeniloga KabisaMambo ni hiviiiiiiii
full mabusuuuuuuuuuuuleeeee
Za mida shosti,.hivi Inna hujamuona mitaa hii leo?
Mimi zaidi yani ukatupotea mazimaaa mpaka nikawa mvivu ujueJamani baba chanja is Herr. You are missed manga..
Kweli kabisa baba chanja kaja...Nilikwambia ukimwita kwa hiyo sauti yako nyororo atakuja tu
Sjamuona aisee hivi shemej hapa nan tumuulize inna yuko wapiZa mida shosti,.hivi Inna hujamuona mitaa hii leo?