ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Ukipata cha Njombe, utafune na mbegu.We huwezi kunivutia pia? Tena we umesema una cha Arusha kabisa.
Kesha pata wivu.Ugumu wake nini sasa?
Mtu chake muoga.Sawa pia kama umeamua hivyo.
kasikia Amarula kajua shughuli IPO. Chezea TANGA.Lala salama.Ngoja nilale my dear. Usiku mwema
Hehe..Mtu chake muoga.![]()
![]()
kasikia Amarula kajua shughuli IPO. Chezea TANGA.
Kamata lindo sumve.Hehe..
Duh..naona fursa imenipita aisee.Kamata lindo sumve.
Bado ipoDuh..naona fursa imenipita aisee.
Nani kasema walizi tuko chali?Askari wote jiiiiiiii. Mwifwa!
Aisee wote tayari mko chali
Roll call. Mkae tayari
Huyu ni naniHapana.....!
Ndio kwanza kumekucha
mtoto nileteee mawani hapo juza mezaaMmmmhhEx wangu, nina swali....naomba nikuulize
Sio kila homa ni Malaria, kapime.Naumwa jaman mniombee naona Dalili za Maralia mwili hauna nguvu kichwa kinauma muwe na usku mwema maombi yenu tafadhali