Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Hapana.....!Popo mmelala?
Ndio kwanza kumekucha
Hapana.....!Popo mmelala?
Kwema rafikiKiongozi, walinzi tupo wakutosha....usiogope
Ex wangu, nina swali....naomba nikuulizeBado sijalala, ndio naingia lindoni muda huu
Kwema sana best, za masiku?Kwema rafiki
Umekuja mahali sahihi, hapa utakesha mpaka usingizi wenyewe utaona wivu ukufuatenimeshindwa kulala vp humu....

️Karibu sana best angu! Bila shaka Mwifwa amesha kuhudumia kinywaji ulichoagizaNimeshakaribia. Naomba Heineken ya baridi kabla hatujaendelea na mazungumzo

dah aisee kuna kamuvi nlikua nakacheki hapa dah......ata kufumba macho nashindwa....Umekuja mahali sahihi, hapa utakesha mpaka usingizi wenyewe utaona wivu ukufuate![]()
![]()
![]()
Best, mbona macho kodo.....!
Ex wangu, nina swali....naomba nikuulize
baby shemKaribu sana best angu! Bila shaka Mwifwa amesha kuhudumia kinywaji ulichoagiza![]()
![]()
![]()
Umekuja mahali sahihi, hapa utakesha mpaka usingizi wenyewe utaona wivu ukufuate![]()
![]()
![]()
unauza?Njooni na kashata nimepika Kahawa jamani sijachemsha nimepika kahawa️
Ooooh! Popo mwenzangu mbona unazidi kughara? mwenzangu nipe siri ya urembo wakoPopoz
Mmmmh! Weka picha tuione mbona kuna mtu kanambia kuwa kahawa yenyewe umeiunguza?Njooni na kashata nimepika Kahawa jamani sijachemsha nimepika kahawa️

Naaaam shemela! Nilikuhamu sana wewe na baby wako Neybrightbaby shem