HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Pole. Unakumbuka kuna kipindi nililalamika jino linauma basi nilipata dawa moja ya kienyeji ni hatariiiii. Nilitaka kulitoa ila nikaahirisha ilinisaidia kweliNina homa ya kuota jino!
Pole. Unakumbuka kuna kipindi nililalamika jino linauma basi nilipata dawa moja ya kienyeji ni hatariiiii. Nilitaka kulitoa ila nikaahirisha ilinisaidia kweliNina homa ya kuota jino!
Naomba utambue uwepo wa popo na bundiKuna watu wanafungua geti kabla ya muda
Ukizira ipogolo na HB wanakula....Nimezira kabisa unafunguaje lindo mapema??
Huo uwepo unatambuliwa kuanzia 00:00 na sio 23:59 kurudi nyumaNaomba utambue uwepo wa popo na bundi
Mimi siumwi jino, ila ninaota jino....Pole. Unakumbuka kuna kipindi nililalamika jino linauma basi nilipata dawa moja ya kienyeji ni hatariiiii. Nilitaka kulitoa ila nikaahirisha ilinisaidia kweli
Nimekuja mapema ili nikuwahi kabla hujaondoka tusije tukapishanaHuo uwepo unatambuliwa kuanzia 00:00 na sio 23:59 kurudi nyuma
Haya kuna kitu uliniahidi haya niambieNimekuja mapema ili nikuwahi kabla hujaondoka tusije tukapishana
Oooh asante kwa mrejesho na hongera kwa kupona. Hukubakiza hiyo dawa labda yawezanisaidia na mie![]()
![]()
![]()
![]()
nilikua nakupa mrejesho
Swali langu ni lini meno hukoma kuota?Haya kuna kitu uliniahidi haya niambie
Kwa nini?Nilikuwa naona aibu kuja huku![]()
![]()
![]()
Baba chanja jamaniii amerudiiiiUlipotelea wapii?
Wewe meno yapi yanaendelea kuota? Magego? Meno ya mbele? Ya juu? Ya chini?Swali langu ni lini meno hukoma kuota?
Ha ha ha ha ha Thad banaOoooh! Popo mwenzangu mbona unazidi kughara? mwenzangu nipe siri ya urembo wako
Unajua sababu, nilishasema tangu janaKwa nini?
Wana wapotevu twarudiI missed you more, my dears
Niko siriaz...Ha ha ha ha ha Thad bana