Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,445
Ashindwe yy tu,jamaa ana zali dahJumamosi naenda narudi jumapili.
Ashindwe yy tu,jamaa ana zali dahJumamosi naenda narudi jumapili.
Sio zali bwana kanivutia tu kumuendea Iringa. Na wewe waeza pata zali vile vileAshindwe yy tu,jamaa ana zali dah
Kitu hicho!Inawezekana. Iringa nimekuja mara ya mwisho 2014 kulikua na rafiki angu anasima Tumaini.
Dah mie sidhani km naweza kupata zali lako,ila jamaa naona zali lakeSio zali bwana kanivutia tu kumuendea Iringa. Na wewe waeza pata zali vile vile
Kwanini ukose? Labda uwe hunitaki tu. Naweza ahirisha kwenda Iringa nikaja kwakoDah mie sidhani km naweza kupata zali lako,ila jamaa naona zali lake



Hahahaha, mkuu hongera sana,umelinda lindo kwa faidaKitu hicho!
Mmmh, wkt ushasema kakuvutiaKwanini ukose? Labda uwe hunitaki tu. Naweza ahirisha kwenda Iringa nikaja kwako![]()
We huwezi kunivutia pia? Tena we umesema una cha Arusha kabisa.Mmmh, wkt ushasema kakuvutia
Hapa muhimu mangi aongeze mbili zingine ,lindo gumu hili
Ugumu wake nini sasa?Hapa muhimu mangi aongeze mbili zingine ,lindo gumu hili
Mmmh, Mie tena ,hahahaha sina mvuto banaWe huwezi kunivutia pia? Tena we umesema una cha Arusha kabisa.
Haya kama wasema hivyoMmmh, Mie tena ,hahahaha sina mvuto bana
Wazee wanakatisha nje hukoUgumu wake nini sasa?
Lol.Wazee wanakatisha nje huko
Hahahaha, anzia iringa kwanza,mie baadae au?Haya kama wasema hivyo
Sawa pia kama umeamua hivyo.Hahahaha, anzia iringa kwanza,mie baadae au?
Sijaamua hivyo bana ,nimesema tuSawa pia kama umeamua hivyo.
Ngoja nilale my dear. Usiku mwemaSijaamua hivyo bana ,nimesema tu
Ahsante, nami namalizia kitu hapa nilale,nije kukufunika shuka?Ngoja nilale my dear. Usiku mwema