Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Hauzi, ila shurti uje na kashata ndio unapata gahawaunauza?
Hauzi, ila shurti uje na kashata ndio unapata gahawaunauza?
nimekumiss kweliNaaaam shemela! Nilikuhamu sana wewe na baby wako Neybright
Umekuja mahali sahihi, hapa utakesha mpaka usingizi wenyewe utaona wivu ukufuate![]()
![]()
![]()
Pole sana shost, ila tunaombea wanaojiombea hivyo usisahau kujiombea piaNaumwa jaman mniombee naona Dalili za Maralia mwili hauna nguvu kichwa kinauma muwe na usku mwema maombi yenu tafadhali
Gahawa chungu sana. Kashata na chai ya tangawizi tafadhali.Achana nae huyo, njoo na kashata kuna gahawa imepikwa huku......japo mwenyewe kaiunguza wakati wa kuipika![]()
![]()
![]()
Umekuja mahali sahihi, hapa utakesha mpaka usingizi wenyewe utaona wivu ukufuate![]()
![]()
![]()
Afadhali umekuja, kabla ya kukujibu swali lako naomba majibu ya barua niliyokupa umpelekee kaka yako Nleterewa NganengoUpo bibieee
Nani alikufichamooooo
Usiku huu bila gahawa utaweza kukesha kweli? Utajifunza kuinywa taratibu mpaka utazoea....Gahawa chungu sana. Kashata na chai ya tangawizi tafadhali.
Nikiwa na Heineken ama Glenfidich nakesha mpaka kesho kutwa.Usiku huu bila gahawa utaweza kukesha kweli? Utajifunza kuinywa taratibu mpaka utazoea....
Ulipotelea wapii?Nimewamissssss
Kwani wewe upo kweliKaribu sana best angu! Bila shaka Mwifwa amesha kuhudumia kinywaji ulichoagiza![]()
![]()
![]()
Mwenzetu, pesa ya kununulia hivyo vinywaji wapata wapi na hivi vyuma vilivyokaza namna hii?Nikiwa na Heineken ama Glenfidich nakesha mpaka kesho kutwa.

Nipo best, za kunisusa?Kwani wewe upo kweli
Heineken nanunua mwenyewe bei rahisi tu ila hiyo ingine mashemeji zako sio wachovu mama napewa tu nikitaka.Mwenzetu, pesa ya kununulia hivyo vinywaji wapata wapi na hivi vyuma vilivyokaza namna hii?![]()
![]()
![]()
Njoo uchukue miti ile ya kutafunaGahawa chungu sana. Kashata na chai ya tangawizi tafadhali.
Best, mbona macho kodo.....!
Aiseee....naomba unitambulishe kwa hao shemeji zanguHeineken nanunua mwenyewe bei rahisi tu ila hiyo ingine mashemeji zako sio wachovu mama napewa tu nikitaka.

Kivipi na humu sikuoni ulifichwa na nani?Nipo best, za kunisusa?