whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,570
- 4,450
dah aisee kuna kamuvi nlikua nakacheki hapa dah......ata kufumba macho nashindwa....
Kataje kamuvi
dah aisee kuna kamuvi nlikua nakacheki hapa dah......ata kufumba macho nashindwa....
Nitakutambulisha wote usijali. Wa Tanzania na nje ya Tanzania maana nimewajaza Kilimjaro 3Aiseee....naomba unitambulishe kwa hao shemeji zangu![]()
![]()
![]()



Baridi sana nimeshindwa kabisa kulala
Pole best, hakika baridi huwa inatufanya tuuone umuhimu wa ndoa!Duh hali ya hewa hii wakosaje usingizi?Baridi sana nimeshindwa kabisa kulala
the haunting...Kataje kamuvi
Nilijificha mwenyewe baada ya kutafuta mume hapa na kukosa.....aibu ilinishikaKivipi na humu sikuoni ulifichwa na nani?

basi sawaHauzi, ila shurti uje na kashata ndio unapata gahawa
Mbona mimi hujanitafuta au sina vigezo?Nilijificha mwenyewe baada ya kutafuta mume hapa na kukosa.....aibu ilinishika![]()
![]()
![]()
sio wale afande?Naumwa jaman mniombee naona Dalili za Maralia mwili hauna nguvu kichwa kinauma muwe na usku mwema maombi yenu tafadhali
Kwenye msafara wa mamba, kenge huwa hawakosi......unitambulishe kwa mashemeji wenye pesa zao bila kujali wako ndani au nje ya nchi!Nitakutambulisha wote usijali. Wa Tanzania na nje ya Tanzania maana nimewajaza Kilimjaro 3![]()

Kwenye msafara wa mamba, kenge huwa hawakosi......unitambulishe kwa mashemeji wenye pesa zao bila kujali wako ndani au nje ya nchi!![]()
![]()
![]()




. Ombi lako limepita mpenziWewe pia ni miongoni mwa walionitosaMbona mimi hujanitafuta au sina vigezo?

Kumbe na tisha basi sawa ngoja niite shemeji mana hakuna namna.Wewe pia ni miongoni mwa walionitisa![]()
![]()
![]()
Utambulisho unaanza lini ili niende kabisa saluni na nikaazime nguo za kuvaa kwa Inna..... Ombi lako limepita mpenzi
![]()
![]()
Pole best, hakika baridi huwa inatufanya tuuone umuhimu wa ndoa!



wala sijategemea utawaza hiviWeend imeanza mapema naona. Ombi lako limepita mpenzi
Kuanzia kesho utambulisho unaanza. Get readyUtambulisho unaanza lini ili niende kabisa saluni na nikaazime nguo za kuvaa kwa Inna....
Makosa ya kiuchapaji, wewe pia u miongoni mwa walionitosa.Kumbe na tisha basi sawa ngoja niite shemeji mana hakuna namna.
Dooh sura ngumu ni mateso

Mkuu kitambo sana. Usalama huko?Kichwa kichafu,Mshana Jr,Daby,