Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,384
- 95,802
Njoo nitakuchukulia utakachoHili chama siliwezi mimi. Kuingia lindo bila kimywaji siwezi kabisa.
Njoo nitakuchukulia utakachoHili chama siliwezi mimi. Kuingia lindo bila kimywaji siwezi kabisa.
Shukrani sana kiongozi. Hiyo kitu nimestaafu kwaresma hii [emoji120] [emoji120]Safi mie ,nacheza na safari lager hapa kiduka cha mangi ,mdg mdg,karibu
Achana nae mshamba tu.Nani huyo?wapi hapo kakutolea?
Tanda mti ndefu lakini ujue?Labda kama unanidanganya, ila kama kweli tandamti basi nakujua fika!
Asee ,samahani mkuu kwa kukuharibia mfungo[emoji120]Shukrani sana kiongozi. Hiyo kitu nimestaafu kwaresma hii [emoji120] [emoji120]
Kwa Mangi wanaweza wakawa na pombe kali ninazokunywaga kweli?Njoo nitakuchukulia utakacho
UlimkataaNilijificha mwenyewe baada ya kutafuta mume hapa na kukosa.....aibu ilinishika [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Umereply vizuri mpaka nimesikia wivu...[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pole mummy.
Ni wapi?nipe linkAchana nae mshamba tu.
Hapa ana konyagi,jack Daniel,k vantKwa Mangi wanaweza wakawa na pombe kali ninazokunywaga kweli?
Kuko poa, natokea mji wa kiringo huku[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humu kuko fresh sijui mwenzetu weye huko utokeako
Hahahaaaa shost usisingizie ukosefu wa kinywaji, we sema u "mlaini" ulinzi huuweziHili chama siliwezi mimi. Kuingia lindo bila kimywaji siwezi kabisa.
Sio humu my dear.Ni wapi?nipe link
Usalama wa kutosha mkuu.Mkuu kitambo sana. Usalama huko?
Mi sio mlaini kweli. Tatizo langu la kukesha liliishaga ila naona limerudi kwa kasi toja hii week imeanza.Hahahaaaa shost usisingizie ukosefu wa kinywaji, we sema u "mlaini" ulinzi huuwezi
OK,pole dear MsameheSio humu my dear.
Inna ulimpata? Kaadimika sanaTufanye kesho kutwa shost, maana bado sijaazima hata make up kwa shoga angu Chausiku [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nishamsemehe dearOK,pole dear Msamehe
Safi,hy ndio inatakiwa ,karibuNishamsemehe dear