ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Nipo Kihesa. IringaNataka eeh. Wapi niijie?
Nipo Kihesa. IringaNataka eeh. Wapi niijie?
Hahahaha huna stock ya kinywaji ukipendacho?Yani hapa nachat huku najiwazia nitaamkaje asubuhi. Maana sina hata tone la usingizi.
Itume kesho kwenye basi nikapokee ubungoNipo Kihesa. Iringa
Wala usipate hofu.Yani hapa nachat huku najiwazia nitaamkaje asubuhi. Maana sina hata tone la usingizi.
Sina. Nilikua nakunywa dawa nimemaliza leo nikawa naogopa hata kuweka pombe ndani nisijejisahau nikanywa.Hahahaha huna stock ya kinywaji ukipendacho?
Napenda Sana Smirnoff Aithee Ipo Poa Ile MbayaHongera. Mimi sipendagi Amarula na vinywaji vya jamii yake. Basi siku naenda kwa bf eti akaninunulia amarula yeye kajinunulia Smirnoff Vodka. Kufika nisimfanye ajisikie vibaya nikasema ngoja tu ninywe. Nikamix na ile Smirnoff yake. Nikanogewa bwana. Kesho yake nikafanya tena hivyo. Nilirudisha chenchi sio kawaida. Kuanzia hapo sitaki tena Amarula wala Zanz wala Strawberry lips.
Kuhofia muhimu eti.Wala usipate hofu.
Nipe anuani.pmItume kesho kwenye basi nikapokee ubungo
Hahahaha, pole kwa dozi ,vumilia tu ,usingizi utakujaSina. Nilikua nakunywa dawa nimemaliza leo nikawa naogopa hata kuweka pombe ndani nisijejisahau nikanywa.
Kumbe. Hiyo chemistry inafaa huku kwenye baridi.Napenda Sana Smirnoff Aithee Ipo Poa Ile Mbaya
Kurudisha Chenji Hukuwa Umezoea Chemistry Ya Ivyo Vinywaji
Jaribu Siku Ku Mix Bapa Na Dompo Ila Hakikisha Bf Yupo Mana Zinaweza Kukupanda
Dompo nilikuaga namix na grants au JD. Nilikua na mkaka ananipenda halafu akawa anajua napenda kunywa. Basi kila siku ananiletea dompo mbili. Yule ndo alinifanya nichukie dompo nahisi. Dompo tamu sana. Wine tamu zimenishinda kabisa. Dompo sasa hiv bila kumix na pombe kali na maji siwez kunywa kabisa.Napenda Sana Smirnoff Aithee Ipo Poa Ile Mbaya
Kurudisha Chenji Hukuwa Umezoea Chemistry Ya Ivyo Vinywaji
Jaribu Siku Ku Mix Bapa Na Dompo Ila Hakikisha Bf Yupo Mana Zinaweza Kukupanda
NakupaNipe anuani.pm
Ndugu Yangu Kesho Piga Hii Bapa Na Dompo Zen Leta Mlejesho HapaKumbe. Hiyo chemistry inafaa huku kwenye baridi.
Asilale.Hahahaha, pole kwa dozi ,vumilia tu ,usingizi utakuja
Sasa hivi una kunywa nnDompo nilikuaga namix na grants au JD. Nilikua na mkaka ananipenda halafu akawa anajua napenda kunywa. Basi kila siku ananiletea dompo mbili. Yule ndo alinifanya nichukie dompo nahisi. Dompo tamu sana. Wine tamu zimenishinda kabisa. Dompo sasa hiv bila kumix na pombe kali na maji siwez kunywa kabisa.
Unataka kumfanya nn binti wa watu?Asilale.
Usije kuniua Ambiele!Ndugu Yangu Kesho Piga Hii Bapa Na Dompo Zen Leta Mlejesho Hapa
Heineken dry wine na pombe kali. Ila pombe hizo sio nyeupe zenye harufu kali zile kama vodka au J&BSasa hivi una kunywa nn
Safi sanaHeineken dry wine na pombe kali. Ila pombe hizo sio nyeupe zenye harufu kali zile kama vodka au J&B
Ah ah ah ah ah ah ah ah Ataishia Kuchat TuuUnataka kumfanya nn binti wa watu?