Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Kuna nini nikaribie?Safi,hy ndio inatakiwa ,karibu
Kuna nini nikaribie?Safi,hy ndio inatakiwa ,karibu
Vingi tu,labda useme unataka nnKuna nini nikaribie?
Nataka cha arushaVingi tu,labda useme unataka nn
Pole dear! Usiumie lakiniUmereply vizuri mpaka nimesikia wivu...![]()
![]()
![]()
Umepata ,kuna stick mbili za kapachino sijanyongaNataka cha arusha
Unakunywa hivyo hivyo au unamix na kitu?Karibu![]()
Kuna zile nilisikiaga zinauzwa town zinakuaga na flavour hivi ndo nzuriUmepata ,kuna stick mbili za kapachino sijanyonga
Kavuu TuuuUnakunywa hivyo hivyo au unamix na kitu?
Mrembo wa Tanga, unataka Heineken?Kuna nini nikaribie?
Yap zote nzuri ,wewe njoo km unatakaKuna zile nilisikiaga zinauzwa town zinakuaga na flavour hivi ndo nzuri
Tunabaki wakongweNaona mmoja mmoja anakimbia lindo.
Hongera. Mimi sipendagi Amarula na vinywaji vya jamii yake. Basi siku naenda kwa bf eti akaninunulia amarula yeye kajinunulia Smirnoff Vodka. Kufika nisimfanye ajisikie vibaya nikasema ngoja tu ninywe. Nikamix na ile Smirnoff yake. Nikanogewa bwana. Kesho yake nikafanya tena hivyo. Nilirudisha chenchi sio kawaida. Kuanzia hapo sitaki tena Amarula wala Zanz wala Strawberry lips.Kavuu Tuuu
Nataka eeh. Wapi niijie?Mrembo wa Tanga, unataka Heineken?
Nielekeze nijeYap zote nzuri ,wewe njoo km unataka
Popoz semaTunabaki wakongwe
Yani hapa nachat huku najiwazia nitaamkaje asubuhi. Maana sina hata tone la usingizi.Thad, Mzigua90, Kichwa kichafu,Manga, kwishaaa.
NipoPopoz sema