Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ea Ea EaOi oi oi
Ea Ea EaOi oi oi
Niambie mitaa unayotembeleaga....nitakuparamiaFanya uje uniparamie mwenyewe ni injoy![]()
![]()
![]()
Mtaa wa tandamti hunikosiNiambie mitaa unayotembeleaga....nitakuparamia
Ahaaaa kumbe ndo wewe, nishakujua sasa ngoja nijipange kukuseduce.....Mtaa wa tandamti hunikosi

Tuingie lindoniEa Ea Ea
Ahaaaa kumbe ndo wewe, nishakujua sasa ngoja nijipange kukuseduce.....![]()
![]()
![]()
Na wewe unalindaga kumbe?Tuingie lindoni
Ulinzi shirikishi,naona na wewe uko best lindoniNa wewe unalindaga kumbe?
Karibu, mi nishafika kitamboTuingie lindoni
Labda kama unanidanganya, ila kama kweli tandamti basi nakujua fika!![]()
![]()
![]()
Umenifananisha bhanaa hunijui hata
Safi mie ,nacheza na safari lager hapa kiduka cha mangi ,mdg mdg,karibuKaribu, mi nishafika kitambo
Pole mummy.Naumwa jaman mniombee naona Dalili za Maralia mwili hauna nguvu kichwa kinauma muwe na usku mwema maombi yenu tafadhali
Mie niko kitandani naona kuna mtu kajisikia kunitolea uvivu wake leo ndo namsikiliza maupuuzi yake nilale kesho niwahi kazini.Ulinzi shirikishi,naona na wewe uko best lindoni
Karibu chamani....chama kubwa lisilo na mpinzani ndani na nje ya jf!Usiku una mengi halafu. Kama nikeshe vile nienjoy![]()
Hili chama siliwezi mimi. Kuingia lindo bila kimywaji siwezi kabisa.Karibu chamani....chama kubwa lisilo na mpinzani ndani na nje ya jf!
Uji wa mapande na karanga?Gahawa chungu sana. Kashata na chai ya tangawizi tafadhali.
Humu kuko fresh sijui mwenzetu weye huko utokeakoOy oy oy, niaje humu, team popoooozz
Nani huyo?wapi hapo kakutolea?Mie niko kitandani naona kuna mtu kajisikia kunitolea uvivu wake leo ndo namsikiliza maupuuzi yake nilale kesho niwahi kazini.