JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo partner wangu in crime anakoroma sijui anataka kufanya tangazo la machine ya kuchakata taka ngumu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Natangaza kabisaa nimeshindwa kufunga mboni za macho yangu mwenzenu wacha nikodolee telemundo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaha.... mwamshe umpe raha
 
Back
Top Bottom