Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Uwaloge ili sandarusi tufanyie matumizi mengineSandarusi itawahusu baharini
Uwaloge ili sandarusi tufanyie matumizi mengineSandarusi itawahusu baharini
Mm Nataka kulala maana naona nikibana Mapaja maumivu ya kijipu uchungu tu hapa sna raha wananiambia Eti niache mpk kiive limekuwa embe hiliSalama.
Kitumbua tena, labda kama kina mchangaNa pilipili Hupendi kitumbua changu wewe
Waliniweza mm mgeni mambo hayo si Unajua ndo nimekua juziiiNacheka jinsi ulivyodanganywa upake ile dawa..
Lala kifo cha mende ili kipate hewa vizuri na kiive harakaMm Nataka kulala maana naona nikibana Mapaja maumivu ya kijipu uchungu tu hapa sna raha wananiambia Eti niache mpk kiive limekuwa embe hili
Ananichanganya mm simjuiHumjui bibi Thad eeehhh..
Aisee hata usiku wa manane wenyewe badoUsiku mwema.
Mkumbuke kwenda kanisani
Poleeeee Sana meza mate ya karibia na kooHa ha ha ...
Aaaaah kumbe ni bibi.....Humjui bibi Thad eeehhh..
Kina jipuKitumbua tena, labda kama kina mchanga
We are learning through mistakes...Waliniweza mm mgeni mambo hayo si Unajua ndo nimekua juziii
Yani kuna mtu alinichungulia mchana kasema Hakina mdomoLala kifo cha mende ili kipate hewa vizuri na kiive haraka
NdioAaaaah kumbe ni bibi.....
Hakijaonesha dalili ya kutumbuka ndivyo alivyo maanishaYani kuna mtu alinichungulia mchana kasema Hakina mdomo
Khaaa ndo mambo gani ya kijipu kuwa na mdomo ndo naanza kusikia leo
Ha haa haaa kwahiyo kina pua?Yani kuna mtu alinichungulia mchana kasema Hakina mdomo
Khaaa ndo mambo gani ya kijipu kuwa na mdomo ndo naanza kusikia leo
Nashukuru Umenitoa tongotongo kidogo niende hospital jaman nikawambie "Nataka my papueeee back"Hakijaonesha dalili ya kutumbuka ndivyo alivyo maanisha
Utaniambia kesho mm nalalaHa haa haaa kwahiyo kina pua?
Nishajua dawa yake
Nasubiri picha au unataka kuninyima kazi?Poleeeee Sana meza mate ya karibia na koo