Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu njoo umsikilize yaani anakoroma hadi anajiramba [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] seems ana dhambi kubwa anajiandaa kunifanyia huyu
Ebu muachage vituko bana.
Kuna mwingine aliamka usiku akakuta bwana wake Abdala kichwa kipara anasearch network akaanzisha hadi uzi kuulizia hiyo hali ni kawaida au la..
Jinsi nilivyomjibu nikifikiria hadi nacheka sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]