jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Hivi vitachi ndo noma Shem wangu jiongeze tu. Ndo kwanza kumekucha kwanguShem luna tena au ndio usingizi
Nakusabahi tu shem[emoji113]
Hivi vitachi ndo noma Shem wangu jiongeze tu. Ndo kwanza kumekucha kwanguShem luna tena au ndio usingizi
Nakusabahi tu shem[emoji113]
jje's mpotevu amekuja na ujio wa nabii Tito si haba na haba. [emoji23]Habari popozz na bundiz!
Jamani naombeni ushauri...humu ndani kuna mtu nampenda sana ila naogopa kumwambia. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nifanyeje?
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
HaswaaaHakika naweza kupata maarifa
MhhhhhKwani amesema uendee?/usubiri had I nikiwepo
Umesikia?
Mmmh! Kusemea hapa naogopa kuleta mgongano wa kimaslahi [emoji134] [emoji134]kama yupo hapa we mwambie tu kwenye huu uzi hakuna wambea tutaficha siri.
Amekuwa muwa(sugarcane) maana ndio unakufa na utamu wake tunaprocess sugarKufa na utamu wako mamii
Usiku mwema
[emoji120] belle velleUsiku mwema
Ulitaka akuache gizani?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante miss you too my dear[emoji7]
Demiss wewe.....ndo nini kuniacha kwenye mataa mchana?
Umepotea kimya tena[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Mhhhhh
Ama kweli abiria chunga mzigo wako,
Nimekuskia mama
Ahahahaaaaaa, hata nyuki pia hufa na utamu wake [emoji28][emoji28]Amekuwa muwa(sugarcane) maana ndio unakufa na utamu wake tunaprocess sugar
AhahahaaaaaaNimemuona na mluku tu na porojo zake, asije sogea karibu yako maana hashindwi kusema upako umeangukia kwako
Chemsha mkuu japo wanaogopa kahawaMpo wapi?nachemsha kahawa jamani
Simuamini asilimia zoteAhahahaaaaaa
KabisaTena ule wa ndanni, hand lurgage
Teh teh teh mahaba niue nimejikuta nipo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nam hofu yngu kwako ...naona umerud baada ya bibie kuja
Unalalaje kabla ya Inna