JamiiForums Usiku wa manane
Asanteee njoo tutumie
d71756095e47bca677aec02d9469a55a.jpg
Kweli umepona mama
 
Nakushauri kalale rafiki yangu
Kweli huo ndio ushauri wako?
Haya bwana wakija hawa wafuatao utawapa salamu zangu, waambie ikiwapendeza wanipe ushauri wa hili linalonitatiza nitaukuta nikirudi:
1.HB wa kigogo
2.Spade 4 spade
3.Manga ML
4. Mwifwa
5. alibakari
6.Ipogolo
7.Nleterewa Nganengo
8. Mjr95
9.ArleN
10.mgunga pori
 
Back
Top Bottom