JamiiForums Usiku wa manane
Haya haya amkeni kumekucha...
Mwifwa na Nleterewa nawasubiri darasani hapa.
Kichwa Kichafu na jje's basi inatosha mtaendelea baadae
Neybright na Inna, mwanichanganya sasa sijui nani wakumuita shemeji na nani wa kumuacha.
dingimtoto na mjr95 mtauana bure Inna ana wake nyumbani.
HB wa kigogo na Demiss natamani siku moja niwaone mkiwa na ukaribu zaidi!

Jamani msione kimya, maisha yamenifunga mdomo!
Uchochezi huu,we ney umeanza lini kuimba?
 
dff4a3b1bdaedcaa1bd6e1ab1109844e.jpg
katika ubora wako.
 
Haya haya amkeni kumekucha...
Mwifwa na Nleterewa nawasubiri darasani hapa.
Kichwa Kichafu na jje's basi inatosha mtaendelea baadae
Neybright na Inna, mwanichanganya sasa sijui nani wakumuita shemeji na nani wa kumuacha.
dingimtoto na mjr95 mtauana bure Inna ana wake nyumbani.
HB wa kigogo na Demiss natamani siku moja niwaone mkiwa na ukaribu zaidi!

Jamani msione kimya, maisha yamenifunga mdomo!
Wewe mwanafunzi kwa mbwembwe nakugawa
 
Back
Top Bottom