Msalato ni nyama bae hapo atakua carnivalWape hi!!! Huko msalato
Hapana ninalala na nightdressNilijua tu hukosi sababu, haya bana kwa hiyo sasa hiv unalala uchi![]()




Okeywakikujibu niite!
Sijakupata enhe carnival ndio wap huko maana uhenga nao shida baeMsalato ni nyama bae hapo atakua carnival
Wanamakusudi sanaMaticha wote wamegoma leo tujisomee tu.
Ooho!! Kumbe hataa kulala na nguo inaruhusiwaHapana ninalala na nightdress![]()
We umesemea msalato ipi?Sijakupata enhe carnival ndio wap huko maana uhenga nao shida bae
Nilijua tu hukosi sababu, haya bana kwa hiyo sasa hiv unalala uchi![]()

Popo bundikaribuni popoooooZ.
Mkuu humu typo mapopo na mabundiWapweke ndo mnapatikana huku
Hayo macho vepee
Nimekuja..lkn me sielew hyo lughaInna nakuomba hapa tafadhali.
Nataka kujua ukwel maana naonaaga humu wanajadil kuwa ukioa au kuolewa shart ulale uchidingimtoto unatafuta habari
Leo umeamkaje bae mbona unauliza maswali magumu hvyoNataka kujua ukwel maana naonaaga humu wanajadil kuwa ukioa au kuolewa shart ulale uchi