Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Ebu fanya chap iyo bonding.. Kama nawaona watu flanHata mimi nipo singo, je twaweza kuwa kopo?

Ebu fanya chap iyo bonding.. Kama nawaona watu flanHata mimi nipo singo, je twaweza kuwa kopo?

Uumbaji wa Mungu![]()
![]()
![]()
Sijasikia vizuri ati, mfurahie nini vile...![]()
![]()
Kopo hii kali ya mwakaHata mimi nipo singo, je twaweza kuwa kopo?
Wife hayupoUnamtafuta nani huku? Mida hiii badala uhudumie ndoa
Imeenda vizuri dearSiku yako imeendaje lakin laaziz wangu
Ewaah ni jambo jema pia kwa kua ni mtakatifu basi na hao warembo watapata utakaso. Wote tuseme Amin.Mzigo wap? Wakt anamendea warembo apa
Ameenda wapi?Wife hayupo
Msaada wako kunisaidia kumuona huyu pimbi maana ananipa wasi wasi kupotea kama ametekwa.Mchana niliona amenipa like moja kwenye uzi wa Demiss wa kutakiana asubuhi njema.
Nilimfuatilia lakini sikumpata
Hahah aminaaaEwaah ni jambo jema pia kwa kua ni mtakatifu basi na hao warembo watapata utakaso. Wote tuseme Amin.
Ebu fanya kuchepuka mama bhokeImeenda vizuri dear
Mkuu karibu jisikie huru. Habari yakoHumu naona couples tu.. Kwa hiyo singles ndio wanalala![]()
Humu mbona mimi nawaona bundiz na popoz tu mkuu, au ndo nshakua na kengeza nini?Humu naona couples tu.. Kwa hiyo singles ndio wanalala![]()
We si umeshampata Ney unataka nn tenaEbu fanya kuchepuka mama bhoke
Anza kumuita shemeji... Kula kwa machoKopo hii kali ya mwaka
Au ndo unataka tusijue kinachoendelea

Karibu sana mkuuAisee na mimi nimo leo kwenye uzi huu.😛😛
Nashukuru pole na majukumu kipenz changuImeenda vizuri dear
Haya njoo unichum pmAisee na mimi nimo leo kwenye uzi huu.😛😛
NyieNashukuru pole na majukumu kipenz changu
Hiyo lugha tunaelewana na jirani yangu![]()
![]()
![]()
Sijasikia vizuri ati, mfurahie nini vile...![]()
![]()