Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Katekwa pm na wasiojulikana.We si umeshampata Ney unataka nn tena
Katekwa pm na wasiojulikana.We si umeshampata Ney unataka nn tena
Asante kipenzi..pole nawew,vp leo biashara imeendaje?Nashukuru pole na majukumu kipenz changu
Wewe polygamist comrade unataka hadi usingiz wangu innaAnza kumuita shemeji... Kula kwa macho![]()

Hahaha waswahili wanasemaga kuhamu kutoka kwenye uvungu wa bandama, ila nashukuru kwa yote jirani mwenye TBS yake.
Mbona huwa nakuhamu sana tuu sema sipendi kuzungumza hadharani

Angalia vizuri.. Ukiona kimya ujue couple zmehamia pmHumu mbona mimi nawaona bundiz na popoz tu mkuu, au ndo nshakua na kengeza nini?
Nyie
naam bro..!!Wacha nitafute vifaa vya kutuunganisha.Ebu fanya chap iyo bonding.. Kama nawaona watu flan![]()



Aaaaaaah kakaaaaHivi kumbe nimekuita, basi itakua nimekufananisha![]()
Sitaki hunter aelewe maana yupo vizuri kwenye lugha ya kikristoKopo hii kali ya mwaka
Au ndo unataka tusijue kinachoendelea




Karibu sana, jisikie uko kwenye ATM machine unadroo hela bibieAisee na mimi nimo leo kwenye uzi huu.😛😛
Polo washqlala wamebaki bundi tu mkuuNawasalim popoz
Niko poa mkuu.. Ila Sijisikii huru kabisa kukosa hata diversion hapa.Mkuu karibu jisikie huru. Habari yako
Mods futa hii comment tafadhali.Haya njoo unichum pm
Swadakta! Asante nashukuru si haba kipenz changu hela ya kukutunza sijakosa,.Asante kipenzi..pole nawew,vp leo biashara imeendaje?

Kwakweli sijui, ndo nimetoka kituo cha polisi cha kati kuripoti, labda tusubiri itakuaje komrediThad umempeleka wapi?
Kwa kweliPolo washqlala wamebaki bundi tu mkuu
Salam zimefika mkuu. Karibu ulipotea hivi karibuni mkuuNawasalim popoz
HallelujahUumbaji wa Mungu