Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Pamoja sana mkuu.Nipo nagonga msosi hapa, baada ya kurudi kwenye mishe za mchana kutwa..
Pamoja sana mkuu.Nipo nagonga msosi hapa, baada ya kurudi kwenye mishe za mchana kutwa..
Nimerudi kiongoziSalam zimefika mkuu. Karibu ulipotea hivi karibuni mkuu
Nilikua napasha tuWewe polygamist comrade unataka hadi usingiz wangu inna
![]()
Mzima wew hb wa kigogoNawasalim popoz
Kwel kaz ipo hapa, ningekuwa cpat pichaSitaki hunter aelewe maana yupo vizuri kwenye lugha ya kikristo![]()
Na nilishaanza kumpenda kumbe ana mambo mengi sanaWe si umeshampata Ney unataka nn tena
Mzima ndugu yangu. Kwema?Mzima wew hb wa kigogo
Achana nae huyooSwadakta! Asante nashukuru si haba kipenz changu hela ya kukutunza sijakosa,.
Ila kuna jamaa kaniita mtoto humu ujue![]()
EwaaahHahaha waswahili wanasemaga kuhamu kutoka kwenye uvungu wa bandama, ila nashukuru kwa yote jirani mwenye TBS yake.![]()
Kwema..unapotea poteaMzima ndugu yangu. Kwema?
Hahahahahah taratibu taratibu mambo mazuri yanachukua mda kukamilika bossNiko poa mkuu.. Ila Sijisikii huru kabisa kukosa hata diversion hapa.
I love you tripleWacha nitafute vifaa vya kutuunganisha.
Kwanza naanza kwa kusema
"I love you"![]()

Hahaha sawa sawa hunterHiyo lugha tunaelewana na jirani yangu
Atiiiii.. Ebu vunja iyo bond kabla sijaikemea kwa mods.Sitaki hunter aelewe maana yupo vizuri kwenye lugha ya kikristo![]()

Thad Bibie popote ulipo jitokeze mamaKwakweli sijui, ndo nimetoka kituo cha polisi cha kati kuripoti, labda tusubiri itakuaje komredi
Nashukuru kwa Busara zako, yaan unanikonga moyo jaman nahis kama nimependelewaAchana nae huyoo
Hapa ni kama nyumbani siwezi kupotea bali ninaadimika kidogo. Michakato inaendaje Inna?Kwema..unapotea potea
Habari za masiku tele HBNawasalim popoz
Pamoja sana mkuu.
