Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
Karibu tulinde,mitaa ya papu chillo,Twitter hadi masaiUsingizi haupo kabisa leo daaaaaah
Karibu tulinde,mitaa ya papu chillo,Twitter hadi masaiUsingizi haupo kabisa leo daaaaaah
HahahahahkDo you mean CHABO?
Welcamu huku
Bila shaka itapendeza zaidi....hivi kwanini wanaume tu ndo huwa wanachelewa zaidi kulala kuliko wale wa upande wa pili??Karibu tulinde,mitaa ya papu chillo,Twitter hadi masai
😉Inabidi tukawatazame inaweza kuwa balimi imezidi masomo.
Labda wengi wetu walinzi/sungu sungu km mimiBila shaka itapendeza zaidi....hivi kwanini wanaume tu ndo huwa wanachelewa zaidi kulala kuliko wale wa upande wa pili??
Chaboling hapo tumeacha ila ni uangalizi ndio unaohitajika.Do you mean CHABO?

Wanawake wanachoka sana,lakini mawazo huchangia kukosa usingizi.Bila shaka itapendeza zaidi....hivi kwanini wanaume tu ndo huwa wanachelewa zaidi kulala kuliko wale wa upande wa pili??
Nini hicho jirani?
People are busy today with![]()
Gr8 my dear!Za siku mingi malkia
Ujue vile Thad ananiumiza moyo wangu
Ila Mungu anawaona but ukikanusha kamoyo katafufuka

Aisee, mshiki na mimi nasubiri nipate tafsiri ya avatar yangu.Avanter mara mingi zinaendana na tabia ya mtu, kwa mfano unaonekana mtu mwenye busara na aman na furaha muda wote. Mungu aendelee kutunza kipaji hicho bby love

Nilichoka mbaya jamaniWe sio wa kulala sahz..single dady
NeybrightPopoooz