dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Humu tunayakataa matambiko kwa damu ya yesu![]()
![]()
![]()
karibuni wahenga kwenye msitu wa maajabu, Leo ni maandalizi ya mwisho ya tambiko letu. Nawasihi msilale mtaharibiu dawa
Captain lindo lina usalama hukoKamanda kumbe huyu ndie shem wetu
MmmmhBaby popote ulipo nimekumiss mtima wangu![]()
Mganga mkuu naona manyanga mayeanza![]()
![]()
![]()
karibuni wahenga kwenye msitu wa maajabu, Leo ni maandalizi ya mwisho ya tambiko letu. Nawasihi msilale mtaharibiu dawa

Lipo byee nipo na inna kipenZ changu hapaCaptain lindo lina usalama huko
Ndugu kuna usalama lindoni upande huoMimi mzima hofu kwako mumu
Daah Mkuu mie nipo single 4yrs now Hapa ni take away 2Shemej ajambo?
Amen!!!!Humu tunayakataa matambiko kwa damu ya yesu

Humu ni oya oya sana mkuuHumu vip mbona jii
Polee sana broDaah Mkuu mie nipo single 4yrs now Hapa ni take away 2
Mkuu mbona getin ndio Fungua tunazitupa baada ya kulifunguamkesha mwema ndugu zangu. Nimeshafungua geti
Anapika ngararumu huyoInna bae njoo huku
Za siku mingi malkiaSijapotea ni majukumu tu!
Noted with thanks comradePolee sana bro
Aah kamandaAnapika ngararumu huyo
Unafungua alafu unaondoka?mkesha mwema ndugu zangu. Nimeshafungua geti