Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Kuna birthday ya hunter leo, Vipi hajakukaribisha nini?Kukumiss huku jirani sidhani kama umenizidi. Ila mbona nasikia kelele za mziki hapo jirani?
Maana meshangaa sijakuona
Kuna birthday ya hunter leo, Vipi hajakukaribisha nini?Kukumiss huku jirani sidhani kama umenizidi. Ila mbona nasikia kelele za mziki hapo jirani?
Utamuona sasa hv ametoka kuoga nilimuacha akibath salam zimefikaMpenzi wako jje's yupo wapi?
Ukimuona msalimie sana
Nasubiria roho mtakatifu akupitie na mimi nipate kunehemekaHapana dia lzma nikutafute
HalleluyahUtamuona sasa hv ametoka kuoga nilimuacha akibath salam zimefika
Kipenz we mwenyw wajua vyema nilivyokufa kwa penzi lako zito so mambo Yale na kwa kila kitu baby. Sina maneno ila nitadhihirisha kwa vitendo my princessUjue vile Thad ananiumiza moyo wangu
Ila Mungu anawaona but ukikanusha kamoyo katafufuka
Mimi apaNani yuko papuchilo muda huu?

Nilijua itafanyika sehemu nyingine ndio tumetoka kujiandaa hapa na jje's nipo namchagulia nguo hapa maana kila nikichagua naona anapendeza zaidiKuna birthday ya hunter leo, Vipi hajakukaribisha nini?
Maana meshangaa sijakuona
Owky up 2 u lovHalafu leo tuwahi kuondoka humu nina kitu special for you today
. I love uNadhani umemuona japo hatutokaa sanaHalleluyah
Sawa hamna neno, kikubwa uwepo wenu jirani,Nadhani umemuona japo hatutokaa sana
Twende lvThanks hun ujue leo duuuh acha niache watu wasije kutuchabo
Kipenz we mwenyw wajua vyema nilivyokufa kwa penzi lako zito so mambo Yale na kwa kila kitu baby. Sina maneno ila nitadhihirisha kwa vitendo my princess
Hahahaha, sikoni mbn ,njoo juuMimi apa![]()
Nipo kwa apa chini hujaniona na gauni langu jeusiHahahaha, sikoni mbn ,njoo juu