Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,425
Usiku
Haya ,nisubiri hapo wakupe unacho kunywaNipo kwa apa chini hujaniona na gauni langu jeusi
Nafurahi pia uwepo wako jiraniSawa hamna neno, kikubwa uwepo wenu jirani,
OkNoted hun, nikikupa ile sign usije sahau, sitaki kina jiran yako wajue tunaondoka saa ngapi
Cc Neybright
Wa mananeUsiku
Itakuwa bado wapo classWale walimu na mwanafunzi wake wanao nunuliana balimi huku wakifundishana mbona siwaoni.
Neybright Inna dingimtoto
Kipenzi nakupenda ati (in masai voice)Tusalimiane mpenzi wangu
Hapana mkuu. Karibu sana jisikie huru kabisa.Hivi nyie watu wa usiku mbona mmeshajigawa sasa wageni inakuwaje
Inabidi tukawatazame inaweza kuwa balimi imezidi masomo.Itakuwa bado wapo class
Utapata waKo kikubwa subira mkuuHivi nyie watu wa usiku mbona mmeshajigawa sasa wageni inakuwaje
Smile yako tuu kipenzi mm nasikia rahaTusalimiane mpenzi wangu
AsheynalehKipenzi nakupenda ati (in masai voice)
Do you mean CHABO?Inabidi tukawatazame inaweza kuwa balimi imezidi masomo.
Avanter mara mingi zinaendana na tabia ya mtu, kwa mfano unaonekana mtu mwenye busara na aman na furaha muda wote. Mungu aendelee kutunza kipaji hicho bby love