Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
KK naomba utulie hapo hapo, msubiri carba arudi kwanzaNdio amekukamata hivyo Yule za wish za asubuhi
KK naomba utulie hapo hapo, msubiri carba arudi kwanzaNdio amekukamata hivyo Yule za wish za asubuhi
Tatizo hamjanipa benderaKapata single mumy Leo mwache akatuwakilishe vema
Misii yuuu plus kukuhamu balaaUjue vile Thad ananiumiza moyo wangu
Ila Mungu anawaona but ukikanusha kamoyo katafufuka
Mimi najua walimu wa hapa ni Mwifwa na Nleterewa Nganengo tu hao wamekuwa walimu toka lini?Wale walimu na mwanafunzi wake wanao nunuliana balimi huku wakifundishana mbona siwaoni.
Neybright Inna dingimtoto
Ukiingia humu ni kujichanganya kama karanga mkuuHivi nyie watu wa usiku mbona mmeshajigawa sasa wageni inakuwaje
Alright mkuuLabda wengi wetu walinzi/sungu sungu km mimi
Miss yuu mookumekucha
Wee upo kwema lakinikumekucha
Salama ila UmenitengaNakusalimu dingi
miss!!
i missed youYes baby
Nikilifungua saa hii kuna ubaya?Gate closed
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuwa na subira bana bado dk 14 tuNikilifungua saa hii kuna ubaya?
Avanter>>>>AvatorAvanter mara mingi zinaendana na tabia ya mtu, kwa mfano unaonekana mtu mwenye busara na aman na furaha muda wote. Mungu aendelee kutunza kipaji hicho bby love
baridaKuwa na subira bana bado dk 14 tu
Gate opened karibuniwatu mna morali leo,mpo getini saa hizi.
Asanteh mpz kwa sifa hizo hujakosea kabisaAvanter mara mingi zinaendana na tabia ya mtu, kwa mfano unaonekana mtu mwenye busara na aman na furaha muda wote. Mungu aendelee kutunza kipaji hicho bby love