JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Uko poa lakini mshiki, naona saivi umeshakua mwepesi, hata ukiwekwa juu ya Maji unaweza tembea bila kuzama[emoji85] [emoji3]
Wapi dirty head au ndio naemsikia anakoroma hapo[emoji40]
Msacha oko shindo shi umtakye umanye foo lanye
Dirty head kapumzika hapa wala hakoromagi, labda umemsikia jirani yake
Hapa mwepeeeesi yaan hadi raha. Akili inafanya kazi kama kitabu page mpya
 
Msacha oko shindo shi umtakye umanye foo lanye
Dirty head kapumzika hapa wala hakoromagi, labda umemsikia jirani yake
Hapa mwepeeeesi yaan hadi raha. Akili inafanya kazi kama kitabu page mpya
Hahaha ngihoria mshiki oko, ngalodio bhana. Chaah ngakuo na shicha shikacha. Alafu ujue mmesababisha mpaka bundi wangu Thad kapata koma sababu ya wivu[emoji40]
Punguzeni mahabati ya live bhana, mtaua raia mjue[emoji41] [emoji125]
 
Hii mambo sio ya kustaafu braza

, tafadhali rudia michuano utaniambia kitu
Hahaha mshiki bhana, saivi wacha niachie vijana wenye pumzi, nisije nikapoteza umauti katikati ya uwanja bure[emoji40]
Siku izi macho hayaoni tena vizuri, hata kuweka uzi kwenye sindano taabu sana[emoji85] [emoji125]
 
Back
Top Bottom